NI WEWE LYRICS » KILLY X HARMONIZE (AFRICA) : The Ni Wewe Lyrics / Ni Wewe Song Lyrics by Killy X Harmonize is the Latest African Song of 2022. The Ni Wewe Song is Sung by Killy X Harmonize. The Ni Wewe Song Music is Given by Killy. The Ni Wewe Soong Lyrics is Written by Killy & Harmonize. The Ni Wewe Song is Released on 12th January, 2022. The Ni Wewe Song is Presented by OfficialKilly.
Table of Contents
Ni Wewe Song Details :
NI WEWE LYRICS » KILLY X HARMONIZE (AFRICA)
Turururu Ruru Rurururuuu
Mmmnh…! Mnh…!
Kama Mapenzi Ni Uchawi
Umeniendea Ngende..
Maana Nahisi Nimezaliwa
Nije Nikupende..
Aah.. Jangwani Pakavu,
Umeota Mtendee..
Eeh.. Waubani Waubavu,
Sema Wapi Twendeee..
Jua Mapenzi Ni Sirih
Yani Toka Enzi Zile Za Mababu
Usije Ukaghairi Babee
Mazoea Yakanipa Tabuu..
Aaaaah Chuchuchu
Basi Nipe Hata Kiduchu..
Sifa Ya Mume Awe Na Uchu
Usiruhusu Nikapiga Puchu..
Eeeeeh Chuchuchu
Basi Nipe Hata Kiduchu..
Sifa Ya Mume Awe Na Uchu
Usiruhusu Nikapiga Puchuuh..
Oooh Baby You Make Me Sing This Song
Ni Wewe Ni We (Ni Weeeh)
Ni Wewe (I Don’t Wanna Do You Wrong)
Ni Wewe (Ooh Baby Ni Wee)
Njagala Kuvaa Nawee..
Ni Wewe Ni We
Ni Wewe Ni We
Ni Wewe Ni We
(Eeeh Njagala Kuvaa Nawee Ma Baby)
Oohh..oh..
Mapenzi Asili Yake Upofu Na
Unapopenda Hupaoni..
Usishangae Mtu Kuacha Minofu Na
Akala Vya Vichochoroni..
Aaaaah Halima
Kwa Ajili Yako Ninajinyima
Penzi Nishakatia Na Bima
Moyo Wangu Kata We Ndo Kisima..
Mmmh Baby Baby
Nakuitaga Mtaka Cha Uvungu
Kwa Maana Hata Tabu Kuinama,
Na Unapolishika Hilo Rungu
Mwenzako Vinywele Vinanisimama..
Aaaaah Tututu
Usizinyoe Nikusuke Mabutu
Mkunaji Kapewa Ukurutu
Yani Kama Chuma Kinaliwa Na Kutu..
Aaaaah Tututu
Usizinyoe Nikusuke Mabutu
Mkunaji Kapewa Ukurutu
Yani Kama Chuma Kinaliwa Na Kutu..
I Swear Baby You Make Me Sing This Song
Ni Wewe Ni We (Ni Weeeh)
Ni Wewe (I Don’t Wanna Do You Wrong)
Ni Wewe (Ooh Baby Ni Wee)
Njagala Kuvaa Nawee..
Ni Wewe Ni We
Ni Wewe Ni We
Ni Wewe Ni We
(Eeeh Njagala Kuvaa Nawee Ma Baby)
Aaaaah Chuchuchu
Basi Nipe Hata Kiduchu..
Sifa Ya Mume Awe Na Uchu..uu..
The Mix Killer..
Written by : Killy X Harmonize
NI WEWE LYRICS » KILLY X HARMONIZE (AFRICA)
NI WEWE LYRICS » KILLY X HARMONIZE (AFRICA) » Official Music Video
Up Voted :
3,942,704