Mwaka Wangu Lyrics » Harmonize (Kenya) | LyriCSToN

Mwaka Wangu Lyrics » Harmonize (Kenya) : The Mwaka Wangu Lyrics / Mwaka Wangu Song Lyrics by Harmonize (Kenya) is the Latest African Song of 2022. The Mwaka Wangu Song is Sung by Harmonize. The Mwaka Wangu Song Music is Given by Harmonize. The Mwaka Wangu Song Lyrics is Written by Harmonize. The Mwaka Wangu Song Is Released on 23rd January, 2022. The Mwaka Wangu Song is Presented by Harmonize.

Mwaka Wangu Song Details :

Mwaka Wangu Lyrics » Harmonize (Kenya)

Yaw Yaw..
Jeshii !!
Lalalilaa Mmh Lalalaa..
Chiiii..
Eeh..
Ni Mwaka Mpya Mambo
Mapya Sina Dhambi Nimetubu,
Na Pesa Ntazichanga Change
Nizijaze Kwa Kibubuu..
Japo Hata Kakibanda
Nikajenge Huko Pugu,
Maana Nyumba Za Kupanga
Nishazichoka Vurugu..
Eti Kwani Wao Waweze Wana Nini (Mmmh)
Na Mimi Nishindwe Nina Nini..
Nishachoka Siku Zote Kuwa Wa Chini,
Wengine Wanakula Kipupwe Ma Ofisini..
Mliosema Haolewi Olewi
Mbona Kaolewa..
Mliosema Hapewi Hapewi
Mbona Amepewa..
Mwaka Huu Ni Wangu,
Kutimiza Ndoto Zangu,
Nasema Mwaka Huu Ni Wangu,
Kwa Baraka Za Mungu Wangu..
(Dear Lord)
Hakuna Mungu Kama Wewe Babaa..
(Eeeeeeh Hakuna)
Kama Wewe Yawee..
(Eeh Hakuna)
Hakuna Mungu Kama Wewe Babaa..
(Eeeeeeh Hakuna)
Kama Wewe Yawee..
(Eeh Hakuna)
Huu Mwaka Nakusanya
Mavumba Ninunue Gari Yangu,
Na Wale Waliosema Mimi Ni
Mguma Waje Wamuone Mwanangu..
Huu Mwaka Marafiki Wasio Na Faida
Nawaweka Pembeni,
Wanaokufata Wakati Wa Shida Ili
Wapate Hafueni..

Niwaonyeshe Walionidharau
Kama Mungu Anaweza,
Nami Nipande Dau
Niwasalimu Kingereza..
When God Say Yes Nobody Can Say No..
(When God Say Yes Nobody Can Say No)
When God Say Yes Nobody Can Say No..
(When God Say Yes Nobody Can Say No)
Mliosema Haolewi Olewi
Mbona Kaolewa..
Mliosema Hapewi Hapewi
Mbona Amepewa..
Mwaka Huu Ni Wangu,
Kutimiza Ndoto Zangu,
Nasema Mwaka Huu Ni Wangu,
Kwa Baraka Za Mungu Wangu..
(Dear Lord)
Hakuna Mungu Kama Wewe Babaa..
(Eeeeeeh Hakuna)
Kama Wewe Yawee..
(Eeh Hakuna)
Hakuna Mungu Kama Wewe Babaa..
(Eeeeeeh Hakuna)
Kama Wewe Yawee..
(Eeh Hakuna)

Written by : Harmonize

Mwaka Wangu Lyrics » Harmonize (Kenya)

Mwaka Wangu Lyrics » Harmonize (Kenya) » Official Music Video

Up Voted :
164,707

Leave a Comment