WOMAN LYRICS » OTILE BROWN Ft. HARMONIZE (KENYA)

WOMAN LYRICS » OTILE BROWN Ft. HARMONIZE (KENYA) : The Woman Lyrics / Woman Song Lyrics by Otile Brown Ft. Harmonize is the Latest African Song of 2022. The Woman Song is Sung by Otile Brown Ft. Harmonize. The Woman Song Music is Given by Otile Brown & Harmonize. The Woman Song Lyrics is Written by Otile Brown & Harmonize. The Woman Song is Released on 18th January, 2022. The Woman Song is Presented by Otile Brown Official.

Woman Song Details :

Song Woman
Singer Otile Brown Ft. Harmonize
Music Otile Brown & Harmonize
Lyrics Otile Brown & Harmonize
Release Date 18th January, 2022
Language African (Kenya)
Label Otile Brown Official

Woman Lyrics Otile Brown Ft. Harmonize (Kenya)

Aisha !! Aisha !! Aisha !!
Mzuri Kama Kachoro,
Body Kakupa Mola,
I’m Like My Oh My..
Macho Yake Yanavyong’aa
Just Like A Candle Light..
Lips Zake Zilivyolowa
Akizing’ata Like My Oh My,
Ngozi Yake Inavyometameta
Kama Shimaa..
Hivi We Unadhani, Nakutamania..
Nilipoitrace Zaidi Ya Vile, Navyodhania..
Can I Be Your Company,
Nina Machache Ya Kukuambia, Wouwoo Aaa..
Coz I Need You In My Life,
I’m Tryna Find Me A Wife,
And You Look Just Like A Type,
You Look Like Just My Type,
I Swear This Love Is First Try..
Coz You Are Such A Beautiful Woman
Woman, Woman..
Could You Be My One And Only Woman
Woman, Woman.. Aisha !!
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..

Hey !!
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Wouwoo Aaa..
Mzuri Kama Kachora,
Kiuno Kama Dondora,
I’m Like My Oh My..
Na Hivyo Vimacho Vyake Ka Golori
Anavyovirembua..
Her Body Shape Like A Cola,
I Go Spend All My Dollar,
I’m Tryna Make You Mine..
Na Hizo Pozi Zake Ka Mdoli
Anavyojishaua..
Nishajaribu Kupapasa
Dar Es Salaama, Nairobi Hadi Mombasa..
Sijamwona Mpaka Sasa,
Wa Kufanana Huo Mshaope Sasa..
Ye…
Maneno Manung’uno Na Chuki
Eti Mara Kiuno Amechongesha Uturuki..
Huwajibu Hukurupuki,
Penzi Lako Ni Asali Na Mi Ndo Nyuki..
Kelele Zao Za Chura
Hazininyi Tembo Kunywa Maji
Watasema Mchana Na Usiku Watalala..
Umebarikiwa Sura,
Kwenye Shindano La Warembo,
Acha Nikupe Taji,
Kwanza Bado Kijana Kifuani Hapajalala..
Coz You Are Such A Beautiful Woman
Woman, Woman..
Could You Be My One And Only Woman
Woman, Woman.. Aisha !!
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Hey !!
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..
Aisha, Parampara Papare..

Written by : Otile Brown & Harmonize

Woman Lyrics Otile Brown Ft. Harmonize (Kenya)

Woman Lyrics Otile Brown Ft. Harmonize (Kenya) » Official Music Video

Up Voted :
195,873

Leave a Comment